#UnaUmuhimu
Katika Marie Stopes, tunaelewa kuwa kila mwanamke ana safari yake ya kipekee ya afya, na ndiyo sababu tunakusikiliza, kukutegemeza, na kukujali katika kila hatua unayopitia. #UnaUmuhimu
Moyo wa kampeni hii uko na ujumbe mmoja rahisi lakini wenye maana kubwa – maisha yako, maamuzi yako na afya yako yanatuhusu.
Tunakualika mahali ambapo afya yako inapewa kipaumbele, sauti yako inasikilizwa, na kila mtu anakujali kwa dhati.
