Afya ya Wanaume
Tunayo huduma mbalimbali kwa wanaume kusaidia afya ya uzazi na mfumo wa uzazi.

Huduma za kitaalamu zilizobuniwa kwa ajili ya wanaume.
We are experts in women’s health and also provide trusted, confidential care for men. Our services include contraception support and STI testing, and we have helped thousands of men worldwide access the care and information they need to make informed decisions about their sexual and reproductive health.
Services Available
Ukianza kutumia njia za uzazi wa mpango kwa mara ya kwanza, au unapoanza kutumia njia mpya, ni vizuri kufanyiwa uchunguzi wa kina.
Wasiliana nasi bila malipo kwa mazungumzo ya siri


